"Tumefikia makubaliano ya pande mbili ya kuachana na aliyekuwa mchezaji wetu katika safu ya ushambuliaji, Joseph Gnadou Guede."
.
"Uongozi wa Klabu unamshukuru Guede kwa kipindi chote alichoitumikia timu yetu na tunamtakia kila la kheri katika safari yake ya soka."