Kauli ya John Mnyika Kuhusu Tuhuma za Tundu Lissu

Kauli ya John Mnyika Kuhusu Tuhuma za Tundu Lissu

Kauli ya John Mnyika Kuhusu Tuhuma za Tundu Lissu 

“Kuhusu tuhuma ambazo Makamu (Lissu) amezitoa kuhusu uadilifu, nisisitize kwa nafasi yangu ya utendaji mkuu wa Chama ikiwa kuna Kiongozi au Mtu yoyote wa CHADEMA ana tuhuma dhidi ya yoyote aziwasilishe ili zishughulikiwe kwa mujibu wa Katiba, Itifaki na maadili ya Chama na sio kutoa tuhuma za jumlajumla bila kusema hapa kuna huyu anatuhumiwa na huyu na hili na hili”

“Tukipata tuhuma zenye ushahidi zitapelekwa kwenye Kamati Kuu ya Chama ambayo itaamua kushughulika nayo au kupeleka Kamati ya Maadili, kama kuna jambo liletwe” ——— Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akizungumza na Waandishi leo Jijini Dar es salaam

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad