Kibu Dennis Afufa Ukame wa Magoli, Huu Ndio Msimamo Kundi la Simba Baada ya Ushindi


Jioooni, Kibu Dennis anaiandikia Simba Sc bao la ushindi dhidi ya CS Sfaxien katika katika dimba la Benjamin Mkapa, Mnyama akichukua alama zote tatu kwa mbinde mno.

Baada ya siku zaidi ya zaidi ya mwaka bila kuingia kambani Kibu Denis Mkandaji’ amefunga magoli mawili yaliyoipatia Simba Sc alama tatu muhimu nyumbani.

FT: Simba Sc 🇹🇿 2-1 🇹🇳 CS Sfaxien
⚽ 7’ Kibu
⚽ 90+9’ Kibu Dennis
⚽ 3’ Haj Hassen

MSIMAMO KUNDI A
1.🇩🇿 CS Constantine — mechi 2 — pointi 6
2.🇲🇦 Simba Sc — mechi 3 — pointi 6
3.🇦🇴 Bravos — mechi 2 — pointi 3
4.🇹🇳 CS Sfaxien — mechi 3 — pointi 0
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad