FADLU DAVID’S TUNAHITAJI WACHEZAJI WAPYA
“Hatutosajili kwa kuongeza idadi,Kama wanapatikana wachezaji Bora zaidi ya tulionao tutasajili ila wakikosekana tutaendelea(kuwapandisha ubora) na Hawa waliopo”
“Tunahitaji wachezaji wapya waje kuingia kikosi Cha kwanza Moja kwa moja mfano Mpanzu ambae anaonyesha utofauti Mkubwa na washambuliaji waliopo ana ubora mkubwa wa kucheza nafasi zote za ushambuliaji AM,RW,LW hata SS”
FADLU DAVIDS - Kocha Mkuu wa Simba Sc