Kuhusu Elie Mpanzu Simba Haijatapeliwa, Anajua, Anajua Tena....

Kuhusu Elie Mpanzu Simba Haijatapeliwa, Anajua, Anajua Tena....


Kuhusu Mpanzu Simba imepata mchezaji Sahihi, mechi ya kwanza tu imetosha kumtambulisha Elie Mpanzu ni mchezaji wa Namna gani, Dribbling yake, touching zake nzuri sana

Elie Mpanzu ni moja ya wachezaji ambao sifa zake tulianza kusikia kabla hata ya ujio wake nchini Tanzania,Elie Mpanzu ana Dribbling nzuri kiasi kwamba anapotembea na mpira ni ngumu kuuchukua kutokana na Timing yake akifanya Dribbling.

Elie Mpanzu anajua kuiunganisha timu wa kati wanashambulia,vilevile anajua kukimbia sana kwenye Half Space kwa usahihi na wakati ambapo timu inatengeneza shambulizi la kutafuta magoli.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad