Licha ya mfululizo wa matokeo mabaya waliyopata Manchester City hivi karibuni kwa zaidi ya mechi 10 sasa , Kocha wa klabu hiyo Pep Guardiola ameweka wazi kuwa hafikirii kabisa kuhusu kujiuzulu na duru zinaarifu kuwa atabakia klabuni hapo hadi mkataba wake utakapomalizika mwaka 2027
Licha ya Vipigo Mfululizo Unaambiwa Kocha Pep Guardiola Haendi Popote
0
December 17, 2024