Wauzaji wakubwa wa Magari Nchini Tanzania, wamebainisha aina kumi za Magari ambayo hadi leo December 13 2024 ndiyo yanayoongoza kwa kununuliwa Nchini Tanzania ambapo Subaru forester imeshika namba moja katika orodha hiyo ambayo siku za nyuma iliwahi kuongozwa na Toyota IST kwa muda mrefu.
10.Toyota Ractis
9.Mitsubishi Outlander
8.Toyota Premio
7.Toyota Noah
6.Toyota Vanguard
5.Toyota Alphard
4.Toyota IST
3.Mazda CX-5
2.Toyota Harrier
1. Subaru Forester