Mbowe: Nipeni Masaa 48 Nitafakari Kuhusu Kugombea Tena ama la


Mbowe: Nipeni Masaa 48 Nitafakari Kuhusu Kugombea Tena ama la


Mimi @freemanmbowetz ninaomba mniachie nimesikia rai yenu nimesikia hisia zenu naheshimu hisia zenu naheshimu hisia za wengine wote ambao wamenifikia nimefikiwa na watu wengi"


"Ninawaomba mnipe masaa arobaini na nane (kuanzia leo Jumatano) leo ni siku ya Jumatano nipeni Alhamisi, nipeni Ijumaa, Jumamosi nitazungumza neno langu la mwisho na waandishi wa habari."


"Saa tano asubuhi siku ya jjmamosi nitazungumza na wahariri na waandishi waandamizi hapa hapa katika ukumbi huu. Kutoa kauli ya mwisho mwenyekiti mbowe naamua nini."


Mwenyekiti wa CHADEMA @chadematzofficial Taifa Freeman Mbowe @freemanmbowetz akizungumza na Wenyeviti wa mikoa 21 wa CHADEMA waliofika nyumbani kwake kumshawishi kutetea kiti hicho leo, Jumatano Desemba 18,2024.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad