Klabu ya Yanga imethibitisha kunasa saini ya Israel Mwenda kwa mkopo akitokea Singida Black Stars.
Mwenda pia aliwahi kuwatumikia Simba Sc kabla ya kutimkia Singida.
Wakati yupo Alliance alikuwa mshambuliaji halafu kingine watu wasichokifahamu kuhusu Israh ni mpiga free kicks mzuri tu.
“Kuna ‘mahusiano mazuri kati ya Yanga na Singida Black Stars , Kevin Nashon, Israh, Guede, Mauya, Kibabage, hawa wote wametoka Yanga Sc kwenda Singida Black Stars na Singida kwenda Yanga Sc”