Mchezaji Ligi Kuu ya Uingereza Atia Ngumu Harakati za Ushoga Uwanjani....

Mchezaji Ligi Kuu ya Uingereza Atia Ngumu Harakati za Ushoga Uwanjani....


 AMEIKATAA HARAKATI YA UPINDE.

Kuna maelekezo ya vilabu vyote vinavyocheza ligi kuu Uingereza kuwa manahodha wao wavae vitambaa vyenye rangi ya upinde kwa lengo la kueneza ajenda za usawa kuhusu MASHOGA na WASAGAJI [ LGTBTQ +]

Marc Guehi - Beki kitasa wa Crystal Palace hakubaliani na suala la kueneza hiyo ajenda. So, wikendi iliyopita kwenye mechi vs Newcastle alivaa kitambaa hicho ila kwa juu ya kitambaa aliandika “I LOVE YOU JESUS”

Chama cha Soka Uingereza kilimpa onyo kuwa haitakiwi kuandika maneno juu ya kitambaa cha unahodha kutokana na sheria ya KIT & ADVERTISING REGULATION (Rule A4) inayokataza picha, maneno, au tangazo lolote ambalo halijaidhinishwa na FA kuwekwa juu ya vitambaa vya manahodha

Baada ya onyo alilopewa Marc Guehi ilitegemewa labda mwamba ataelewa somo. Ila Jana kwenye mechi vs Ipswich, Guehi alizidi kuonyesha msimamo wake wa kutokubaliana na harakati za kuwapa usawa MASHOGA na WASAGAJI.

Guehi aliandika tena; I LOVE YOU JESUS kwenye kitambaa chake cha unahodha, na alicheza mechi yote kwa dk 90

Kwa namna ilivyo inaonekana Marc Guehi yupo tayari kwa lolote ili mradi asiweze kusapoti waliwa vinyeo.

Marc Guehi anaamini sio sawa waliwa vinyeo wapewe haki kwa sababu wanaenda kinyume na maandiko matakatifu.

Wanazi wa soka wanasubiria kwa hamu kuona Chama cha Soka kitatoa adhabu gani kwa Marc Guehi baada ya juzi kumpa onyo na amekaidi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad