Klabu ya AS FAR Rabat 🇲🇦 imefikia makubaliano na Miguel Gamondi (58) 🇦🇷 kuwa Mkurugenzi mpya wa Michezo.
Lengo ni kuboresha utendaji wa klabu ya AS FAR Rabat katika mashindano ya kitaifa na kimataifa
Miguel Gamondi aliwahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC 🇹🇿.