MOTO UMEWAKA KUWANIA KIATU CHA DHAHABU EPL.
Msimu ulioisha 2023/2024
Haaland aliibuka top scorer wa EPL akimaliza msimu na bao 27
Cole Palmer alimaliza msimu na bao 22
Msimu huu mpaka sasa, Haaland na Cole Palmer wanaonekana wanaendeleza moto pale walipoishia
Halaand ana bao 12
Cole Palmer ana bao 09
Ila utofauti uliopo kwa msimu huu mpaka sasa Mohamed Salah ndiye anaongoza kwa ufungaji wa mabao akiwa na bao 13 ndani ya mechi 14
Salah msimu ulioisha alimaliza msimu akiwa na bao 18 ndani ya mechi 32
Chris wood ambae yupo nafasi ya nne msimu huu akiwa amefunga bao tisa, anasubiriwa aonekane kama atakua na moto wa kukimbizana na akina Haaland mpaka mwisho wa msimu
Ligi ya moto
Kiatu cha Moto
Nani ataibuka mshindi mwisho wa msimu?
Time will tell.