Mshahara Mpya wa Mchezaji Fei Toto Huku Azam ni Kufuru tupu

Mshahara Mpya wa Mchezaji Fei Toto Huku Azam ni Kufuru tupu


Inaelezwa kuwa Azam FC inajiandaa kumpa mkataba mpya kiungo wao Feisal Salum 'Fei Toto' utakaomfanya adumu kwenye timu hiyo hadi mwaka 2028.

Mkataba huo utamfanya nyota huyo awe analipwa mshahara wa USD 12,000 sawa na Tsh million 31 Kwa mwezi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad