Kasi,ujuzi,akili,uthubutu,maamuzi sahihi na Positioning awareness vinamfanya kuwa mchezaji hatari sana.
Pacome akiwa fit ni walinzi wachache wanaweza kumzuia,ni mgumu sana ku-deal nae kwenye 1 v 1.
Leo aliwachanganya sana wapinzani,aliwavuruga sana aisee🙌
Mkataba wake na Yanga umebakiza miezi 6 hivyo anajua fika njia sahihi ya kujiuza na kuongeza thamani yake ni kukiwasha🔥