Polisi Kenya Yamtaka Mchezaji Dube Abuya

Polisi Kenya Yamtaka Mchezaji Dube Abuya

Klabu ya Polisi Kenya , imetuma Barua Rasmi kwa Yanga kumtaka Mchezaji wao anayewatumikia kwa Mkopo , Alicheza kwa mkopo Singida Big Stars sasa Singida Black Stars Kwa Mkopo na baadae akatua Yanga Kwa mkopo vile vile.

Baada ya Polisi kuona kiwango cha mchezaji wao kimeimarika wameamua kumrejesha dirisha hili dogo la usajili , na Kama Yanga watamuhitaji basi inabidi waingie Mkataba wa Kumnunua mazima.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad