Kikosi chako umekipanga kuanzia namba 1 mpaka namba 10 na imebaki nafasi moja tu. Mechi ni ya muhimu sana na lazima ushindi upatikane.
Hapa una Prince Dube
Pale una Leonel Ateba
Dube ana mechi 11, bao 3, assist 1
Ateba ana mechi 09,bao 5, assist 1
Wote wazuri hewani
Wazuri kutunza mali
Wazuri kuchezesha timu
Wazuri kwenye mikimbio
Wewe ndiye kocha, unaanza na nani kwenye kosi lako? Na kwa sababu gani?
Nasoma comments ndugu wachambuzi