Rasmi Kombe la Dunia 2034 Kuchezwa Saudi Arabia

Rasmi Kombe la Dunia 2034 Kuchezwa Saudi Arabia


Rasmi sasa Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limeitangaza Saudi Arabia kama mwenyeji wa michuano ya kombe la a Dunia la mwaka 2034. Hispania, Ureno na Morocco wao ni wenyeji wa kombe la Dunia 2030

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad