Kocha Mkuu wa klabu ya Simba SC, Fadlu Davids ameuambia Uongozi wake kuwa umtafutie Kiungo ambaye atachukua nafasi ya Winga Joshua Mutale.
Simba SC imepokea ombi hilo na imeshamueleza Joshua Mutale kuwa kuna mchezaji mpya ambaye wapo wanakamilisha taratibu zote za makubaliano.