ifa za ndani zinaeleza kuwa nyota wa Yanga SC, Pacome ZouZoua amegomea kusaini mkataba mpya akidaiwa kutaka mshahara mkubwa zaidi.
Tetesi zinaeleza kuwa Yanga SC wamempa ofa ya mshahara wa Tsh million 28 Kwa mwezi lakini nyota huyo anataka mshahara wa Tsh million 35.
Kwa muda sasa inaelezwa kuwa Simba SC wanafwatilia mwenendo nyota huyo kusaini mkataba mpya kama atashindwana na wananchi basi wamnyakue.