“Kwenye mchezo wa kesho kutwa pointi tatu pekee ndio kitu tunahitaji tuendeleze kwa Mkapa hatoki mtu. Mechi ya Jumapili ni muhimu mno kuifunga CS Sfaxien.”- Semaji Ahmed Ally ndani ya Crown Media kabla ya droo kuanza. Anazungumza Ahmed Ally.
Semaji la Simba: Tunaenda Kumfanyia MTU Vibaya Kwa Mkapa
0
December 13, 2024
Tags