Wiki mpya inaanza leo, Taifa limekusanya alama nne (4) kati ya sita (6) mwisho wa Wiki , sio mbaya sana maana mbele yetu kama Taifa kuna alama zingine (18)
Tisa (9) zipo Klabu Bingwa CAFCL
Tisa (9) zipo Shirikisho CAFCC
Kila la kheri kwenye uwanja wa vita , tunachokiona uwanjani tunaamini ndicho mlichokifanyia mazoezi na ndio tafsiri ya uwezo wa kila mmoja wenu kwa sasa.
Maoni yetu yatasimamia kwa kile tunachokiona uwanjani kwa sasa .Historia haina tena nafasi , atapongezwa anayefanya vizuri ,atasimangwa anayetia Taifa aibu the choice is yours.
Uchambuzi utasimama hapo TUKUPONGEZE au TUKUSEME na ukisemwa punguza mdomo ongeza mazoezi.
DIGALA was here