Sijui Mutale amepatwa na nini?
"Muda mwingi anapoteza mipira,pasi zake nyingi zinakosa njia,miguu yake imekosa magoli na assist."
.
"Inawezekana anahitaji muda wa kuzoea ligi,ila atambue hii ni Tanzania sehemu ambapo hakuna project za muda mrefu."
.
"Haraka sana anatakiwa kurudi kwenye uwanja wa mazoezi na kufanyia kazi mapungufu yake….bado Wana-Simba wanamdai sana."
.
Anasema; Mchambuzi Hans