”Mipango ya dirisha dogo ipo tunasubiri ripoti kamili Baada ya mchezo wa kukamilisha mzunguko wa kwanza wa ligi kuu”
“Tunaangalia mahitaji ya kiufundi Kuna wachezaji tutawaacha na Kuna wachezaji tutawasajili kuja kuboresha kikosi chetu”
MURTAZA MANGUNGU-Mwenyekiti Simba SC