Jioooni kabisa, Mnyama, Simba Sc amechukua pointi zote tatu dhidi ya maafande wa JKT Tanzania kwa bao la saba la msimu la Jean Charles Ahoua.
Simba Sc imesogea mpaka pointi nne mbele ya Wananchi, Young Africans wakifikisha pointi 37 baada ya mechi 14 na wanaendelea kujitanua zaidi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu bara.
FT: Simba Sc 1-0 JKT Tanzania
⚽ 90+4’ Ahoua (P)