Msimu wa kufunga mwaka umewadia, na Spotify imetangaza namna watumiaji wa mtandao huo wamechangia kubadili mwenendo wa muziki kupitia ripoti yake, #SpotifyWrapped.
Data zinaonyesha mashabiki wa muziki nchini Tanzania wanasikiliza muziki kidogo wa nyumbani huku wakitoa viapumbele kwa nyimbo za kimataifa. Hii ni orodha ya nyimbo 10 zilizotamba zaidi mwaka huu:
1. Commas - Ayra Starr
2. Lonely At The Top - Asake
3. Hakuna Matata - Marioo
4. Mapoz (feat. Mr Blue & Jay Melody) - Diamond Platnumz
5. Tshwala Bam (feat. S.N.E & EeQue) - TiToM, Yuppe
6. Angel Numbers/Ten Toes - Chris Brown
7. American Love - Qing Madi
8. Komasava (Comment Ça Va)" - Diamond Platnumz, Khalil Harrison, Chley
9. Egwu - Chike
10. Buruda - Jaivah, Marioo
Wimbo Upi Ulisusikiliza Zaidi Mwaka Huu?