TMA Yatoa Taarifa Kuhusu Hali ya Hewa Kuanzia Leo





"Desemba 4, 2014 angalizo la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya nyanda za juu kusini magharibi mikoa ya Iringa, Njombe, Rukwa na Songwe.

“Kanda ya kati Dodoma na Singida na Mkoa wa Morogoro, athari zinazoweza kujitokeza ni makazi kuzungukwa na maji," inasema TMA.

Vilevile, Desemba 5, 2024, TMA imeeleza uwepo wa mvua kubwa katika maeneo machache ya nyanda za juu kusini magharibi mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa na Songwe, kanda ya kati Dodoma na Singida.

Katika kipindi cha siku tatu TMA imeeleza athari zitakazoshuhudiwa kutokana na mvua hizo ni makazi ya watu kuzungukwa na maji ikitahadharisha watu wote katika mikoa husika kuchukua tahadhari.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad