Tundu Lissu Atangaza Kugombea Uenyekiti Chadema Kumtoa Mbowe

Tundu Lissu Atangaza Kugombea Uenyekiti Chadema Kumtoa Mbowe


Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ametangaza rasmi nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa, ambayo kwa sasa inashikiliwa na Freeman Mbowe.

Tundu Lissu amesema tayari amewasilisha taarifa rasmi kwa Katibu wa Chama kuondoa kusudio la kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti, na badala yake atagombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad