Huyu bwana mdogo Clement Mzize anazidi kuboresha sifa zake uwanjani , angalia ile Physical level yani yupo Powerful na ule uwezo wa kucheza high intensity katika mechi mbalimbali unazaidi kuwa wa hali ya juu
Ongeza na Height yake ilivyo katika kushinda mipira ya juu na amekuwa akishinda mipira mingi sana , bonge la player katika umri wake : hapa Yanga SC wataenda kushinda mechi nyingi sana kupitia Clement Mzize.
Kwa namna anavyokuja na kasi kwenye ligi ya ndani na mechi za kimataifa atamfunika Mayele.
.