Mnaukumbuka ule mgoli wake wa kichwa dhidi ya Augsburg kule 🇿🇦 Afrika Kusini..
Kwenye maisha pia kuna BAHATI. Hii leo ameachwa katika kikosi kinachosafiri kwenda kuikabili TP Mazembe.
“Jean Baleke hakuwa kwenye program ya usajili ya Yanga kwenye mahitaji ya Mshambuji, walikuwa wameshafunga baada ya kumsajili Prince Dube, ni maelewano ya Taasisi na taasisi ( Yanga SC na TP Mazembe)”