UTEUZI: Rais Samia Ateua Boss Mpya NIDA
0
December 18, 2024
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua James Wilbert Kaji kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), kabla ya uteuzi huu Kaji alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro.