Wa Nigeria Wanatamba na Wanasema Kwa Sasa Soka Lipo Chini ya Himaya yao.

Wa Nigeria Wanatamba na Wanasema Kwa Sasa Soka Lipo Chini ya Himaya yao.


Ukiachana na kipa wao, waliobakia wote kwenye first Eleven yao ya timu ya taifa ya Nigeria wanacheza timu za ligi kubwa ulaya. Timu zinazoeleweka.

Wamefika fainali ya mashindano ya CAF, ila walifungwa na Ivory Coast

Wao wanaamini wana kizazi bora kwa sasa cha Soka Afrika nzima, na mastaa mafundi wanaotamba ulaya.

Kuthibitisha hilo wanakwambia kwamba, mwaka jana mchezaji bora wa Afrika alikua Victor Osimhen, na mwaka huu ni Ademola Lookman, wote kutokea Nigeria.

WaNigeria wanatamba na wanasema kwa sasa soka lipo chini ya himaya yao.

JE UNAAMINI SOKA LIMEHAMIA NIGERIA KAMA WASEMAVYO?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad