Wachezaji Yanga Wameanza Kuiva Mazoezini, Hivi Ndivyo Kocha Anavyowafanya


Wachezaji Yanga Wameanza Kuiva Mazoezini, Hivi Ndivyo Kocha Anavyowafanya



Juzi baada ya mechi ya TP Mazembe na Yanga kumalizika,wachezaji waliotumika kwa dakika nyingi kwenye mechi hiyo walihesabiwa “Sessioni” moja,na wale ambao walicheza dakika chache za mwisho plus wale wa benchi walifanya “session” ya pamoja ili kujiweka sawa.

Kilio cha Ramovic ni Fitnesa ndogo ambayo inapelekea wachezaji wake kuchoka haraka,lakini pia kupata injury za ajabu.

Baada ya kikosi kurejea Dar es laam,wikii hii kimeanza program ya mazoezi makali sana,watu wa ndani wa Yanga wanasema wiki kadhaa zilizopita wachezaji wa Yanga walitumia katoni 10 za maji kila wafanyapo mazoezi,ila kuanzia wiki hii matumizi ya maji yameongezeka x2 kutoka katoni 10 hadi katoni 25.

Yes! Saaa hivi wachezaji wa Yanga wanatumia katoni 25 za maji kila siku pale Avic.

Inasemekana mazoezi ya Ramovic,wiki hii ni makali sana,yana intensty ya juu sana hivyo wachezaji wanakunywa sana maji.

Inasemekana Ramovic ni muunini wa “heavy metal football” anataka wachezaji wake wakimbie sana wakiwa na mpira na bila mpira na tayari mapishi ya “heavy metal football” yameanza muda siyo mrefu kuna timu italipa madeni yote

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad