Waliotaka Kumteka Mfanyabiashara Tarimo Wakamatwa

Waliotaka Kumteka Mfanyabiashara Tarimo Wakamatwa


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam limewakamata Watu wanane wanaotuhumiwa kumteka Mfanyabiashara Deogratius Tarimo katika eneo la Kiluvya, Ubungo Dar es salaam.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro akiongea na Waandishi wa Habari leo December 4 2024, amesema Watuhumiwa hao wamekamatwa kwa nyakati tofauti katika Mikoa ya Dar es salaam, Ruvuma na eneo la Mbingu, Mlimba Mkoani Morogoro.

“Pia lilipatikana gari aina ya Toyota Raum ambayo ilitumiwa wakati wa tukio hilo huku ikitumia namba isiyo halisi T 237 EGE na baada ya ufuatiliaji kufanyika imefahamika namba yake halisi ya gari hiyo ni T237 ECF” ——— Kamanda Muliro.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad