Ebu uangalie msimamo wa Kundi A wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kule mkiani ndiko maskani ya Yanga. Hivyo Yanga inautaka zaidi mchezo wa leo kwa sasa ikiwa kama ndio FAINALI yao. Yanga Inafahamu kwamba kupoteza mchezo wa leo itawaweka kwenye wakati mgumu zaidi wa kufuzu robo fainali, kwani itasaliwa na mechi tatu ambazo italazimika izishinde zote ili kuvuna pointi tisa, kitu kinachoonekana ni kigumu zaidi. Kila la kheri Mabingwa wa nchi @yangasc 🇹🇿🇹🇿
Yanga Inautaka Zaidi Mchezo wa Leo kwa Sasa ikiwa Kama ndio FAINALI yao
0
December 14, 2024
Tags