Ali Kamwe Afunguka MC Alger Kufanya Ujanja Ujanja Walikuwa Waje Leo ila Hatujawaona Airport



Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe amesema wapinzani wao kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, MC Alger ambao walikuwa waingie Nchini alfajiri ya leo Januari 15, 2025 bado hawajawasili nchini.

“Mpaka sasa hatujawaona MC Alger na sisi kanma klabu tulifanya wajibu wetu lakini hawakutokea, tukipata taarifa rasmi basi tutawajuza. Kimsingi tunahitaji kuwaona uwanjani jumamosi mengine hayatuhusu”

“Ukweli ni kwamba hii mechi sio rahisi ni mechi ngumu mno, nafikiri mnaona wanavyofanya ujanja ujanja wanakuja kwa mafungu mafungu. Wamedhamiria kuja kupata alama.”——amesema Kamwe

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad