ALI Kamwe Afunguka "Mpira Anaoufundisha Kocha Ramovic Anamfaa Sana Clement Mzize"

 

ALI Kamwe Afunguka "Mpira Anaoufundisha Kocha Ramovic Anamfaa Sana Clement Mzize"



MPIRA ANAOFUNDISHA RAMOVIC UNAPENDWA SANA NA MZIZE

Ali Kamwe

“Clement Mzize ni aina ya wachezaji ambao wame-fit kwenye falsafa ya mwalimh Saed Ramovic”.

“Saed Ramovic anapendelea zaidi Direct Football na anapenda zaidi wachezaji ambao wanakaa kwenye nafasi na wana maamuzi ya haraka”.

“Aina ya mpira ambao anafundisha Saed Ramovic ni mpira ambao anaupenda sana Clement Mzize”.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad