“Tumeongea Na SEAD RAMOVIC ametuhakikishia kuwa Wachezaji wako tayari kwa ajili ya mchezo dhidi ya Tp Mazembe, ilikua wapewe mapumziko kwa ajili ya Sikukuu lakini walikataa wakasema Jumanne Wataanza mazoezi na mechi wanaitaka Saana.”Ally kamwe Afisa Habari wa Yanga amethibitisha.