Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta zitakazotumika nchini kuanzia Jumatano, tarehe 1 Januari, 2025, saa 6:01 usiku.
Wafanyabiashara wa rejareja ma jumla wa bidhaa za mafuta wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zilizoidhinishwa na EWURA, yeyote atakayekiuka AGIZO hili atachukuliwa hatua kali kwa mujibu wa sheria.