Boka Aipambani Yanga Akiwa na Msiba wa Baba yake


Kwa mujibu wa taarifa ya klabu ya Yanga, mchezaji Chadrack Boka aliutumikia mchezo muhimu wa Jana wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal akiwa na msiba wa baba yake mzazi uliotokea juzi Januari 11, 2024 huko Kinshasa, DR Congo.

Yanga katika mchezo wa Jana ilihitaji alama tatu ili izidi kujiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kuweza kufika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa ambapo kama wakifanikiwa kushinda mchezo wao wa Mwisho dhidi MC Alger watakuwa wamefuzu hatua hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad