Che Malone Awaomba Radhi Wanasimba Kwa Kufungisha Magoli

Che Malone Awaomba Radhi Wanasimba Kwa Kufungisha Magoli


Beki wa kimataifa @malone_che_ kupitia ukurasa wake wa Instagram anewaomba radhi mashabiki wa Simba na wadau wa soka kutokana na makosa aliyoyafanya ikiwemo lililoigharimu Simba January 13, 2024 nchini Angola dhidi ya Bravos , kwenye mchezo huo @simbasctanzania alipata sare ya moja moja na kuipa nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali.

Malone ameandika "Ningependa kuomba radhi kwa familia nzima ya Simba kwa kuwagharimu sana katika siku mbili za michezo. Nachukua jukumu kamili kwa makosa yangu naahidi kufanya kazi kwa bidii ili niwe bora zaidi katika siku zijazo.

Pole sana.

Asante Simba.

Asante mashabiki kwa kunitia moyo kila wakati licha ya kukatisha tamaa kwangu."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad