Clement Mzize, mshambuliaji wa Yanga Sports Club, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Wiki katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League). 
Kwa mafanikio haya, Mzize ameonyesha uwezo mkubwa na kuendelea kuipa Yanga SC matumaini katika michuano ya kimataifa.
Kwa habari zaidi, unaweza kutazama video ifuatayo katika tovuti yetu na follow