Director Jowzey "Goodluck Kaongea Uongo Kuhusu Management, Nimeshoot Video 8 na Zote Nililipwa"

Director Jowzey "Goodluck Kaongea Uongo Kuhusu Management, Nimeshoot Video 8 na Zote Nililipwa"


Muongozaji wa video za muziki Tz, Director Joowzey ameandika haya machache juu ya sakata la msanii wa muziki wa injili Goodluck Gozbert na meneja wake,

'TATIZO LILIANZA HAPA HII VIDÉO TULI SHOOT 2021 (GOZBERT FT UPENDO NKONE) NA NDIYO VIDÉO YA GHARAMA SANA GOZBERT KUIFANYA NA KWA BAHATI MBAYA HAIKUFANIKIWA KUTOKA KWA SABABU ZA MSANI,MSANII ALIAMUA KUSUSA KAZI KWA SABABU ZAKE MWENYEWE AMBAZO HAZINA MASHIKO NA ALIAMUA KUFANYA HAYA AKIJUA KUWA KWA GHARAMA ZILE ZA VIDÉO ZILIZO TUMIKA ISINGEKUWA RAHISI MANAGEMENT KUACHA KUITOA HII VIDÉO LAKINI MANAGEMENT ILIAMUA KUTO ITOA HII VIDÉO, KWANINI NIMESEMA HAYA KWAKUWA YAPO MAMBO MENGI SANA MSANII AMEONGEA UONGO JUU YA MANAGEMENT AMBAYO ALIKUWA ANAFANYA KAZI NAYO, MIMI BINAFSI NIMESHOOT VIDEO 8 ZA GOZBERT NA ZOTE NIMELIPWA SASA KAULI YAKE YA KUSEMA KUWA VIDÉO ZOTE AMEFANYA AZIJALIPWA SIYO KWELI',

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad