Fei Toto Kuondoka Azam FC, Anatamani Changamoto Mpya

Fei Toto


 "Azam hawezi kunizuia mimi kuondoka kwenye klabu yao timu zikija kwaajili ya kunisajili nitakubali ili nikapate changamoto sehemu nyingine"

"Sasa nipo Azam FC nina amani kubwa lakini pia nimecheza Yanga SC na kupata mafanikio makubwa kwa hiyo kitu kilichosalia kwangu ni kwenda kucheza nje. Natamani nije kuongeza kitu kwenye timu ya Taifa, naamini pia Azam FC haitanizuia kama timu zitakuja kwa nia ya kunitaka, hivyo ninachokitamani zaidi ni changamoto mpya."

Anazungumza, Feisal Salum

Feisal amemueleza manager wake anapenda kucheza Simba na ni muda sahihi sasa ifikapo dirisha kubwa la usajili ajiunge Simba kwa mkataba wa miaka miwili kwanza.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad