Haiwezekani Aniharibie Usichana Wangu Halafu aniache

 

Haiwezekani Aniharibie Usichana Wangu Halafu aniache

Haiwezekani aniharibie usichana wangu halafu aniache 

Jina langu ni Husna kutoka Mara, Tanzania, kipindi cha nyuma nilikuwa kwenye uhusiano na kijana mtanashati kweli kweli, kila mwanamke mwenye afya njema, basi ni lazima angevutiwa naye kimahaba. 

Kijana huyu aitwaye, Mwarami alikuwa akifanya kazi ya kuongoza watalii katika maeneo mbalimbali hapa Mara, aliwahi kuniambia kuwa utanashati wake ndio uliofanikisha kupata kazi hiyo yenye fedha nyingi. 

Kijana huyo katika mchezo wa kitanda hakuwa mchovu hata kidogo kwani alikuwa bingwa kila wakati tulipokuwa na mchuano, alijua kunichanganya sana kwa penzi lake tamu ajabu, alijua kunipa raha kusema kweli hadi nikawa sijielewi kwake. 

Hata hivyo, siku zilipozidi kwenda mambo yalianza kubadilika kwani Mwarami hata alianza kutorudi nyumbani kama iliyokuwa kawaida yake kila wikendi kitu ambacho kilininyima raha kabisa. 

Suala hili lilianza kunitia wasiwasi kwani sikuamini pendo langu kwake lingeelekezwa kwingine, nilikumbwa na msongo wa mawazo kwani alikuwa ndiye mpenzi wangu wa kwanza kuwahi kumpata katika ujana wangu, ndiye aliyenitoa bikira. 

Kuna siku alinitembelea na niliopomuliza mbona tabia zake zilikuwa zimeanza kubadilika alisema kuwa kila kitu kilikuwa shwari, hivyo niendelee kumwambini kama mpenzi wake, basi nilikubaliana naye kishingo upande. 

Ila akilini nilijua kwamba alikuwa akinificha ukweli wa mambo, pia nilifahamu kuwa alikuwa keshapata mpango wa kando jambo lililonikasirisha kwani urembo wangu huu ulikuwa kwa ajili yake. 

Jinsi muda ulivyokuwa ukisonga ndivyo mambo yalikuwa yanakuwa hata mabaya zaidi kwani wakati mwingine hata alisusia kunipa mapenzi kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma. 

Nilifahamu kwamba alikuwa amepata mpenzi mwingine na hapo uhusiano wetu yakaisha kwa wakati ule huku nikiachwa mpweke bila kujua nini cha kufanya maishani, tayari kashanitoa bikira halafu ananiacha. 

Basi nilibaki nimesononeka tu, baada ya siku kadhaa nilikumbana na habari za Dr Bokko katika mitandao ya kijamii na kufahamu kuwa alikuwa na uwezo wa kunisaidia kumrudisha mpenzi wangu.  

Nilifunga safari hadi kwenye ofisi za Dr Bokko kwa ajili ya usaidizi, alinishughulikia na nikarejea nyumbani, baada ya siku chache Mwarami alinipigia simu kwamba alitaka tukutane. Siku iliyofuata nilienda kwake, nilipofika alinipokea vizuri na kuniomba msamaha pamoja na kunipa zawadi. 

Tangu siku hiyo uhusiano wetu umekuwa imara kwani mwishowe tulifunga ndoa ya kifahari na kuwa mke na mume na sasa tuna familia ya watoto wawili wa kiume. Mpigie Dr Bokko kwa namba +255618536050.

Mwisho


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad