Huyu Hapa Kocha Mpya wa Timu ya Fountain Gate

Huyu Hapa Kocha Mpya wa Timu ya  Fountain Gate


Aliyekuwa kocha wa Sofapaka ya Nchini Kenya, Robert Matano ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa klabu ya Fountain Gate imemtangaza Robert Matano raia wa Kenya akichukua mikoba ya Mohamed Muya aliyetimuliwa hivi karibuni.


Matano mwenye mataji manne ya Ligi kuu ya Nchini Kenya, matatu akishinda na Tusker FC na taji moja akiwa na Sofapaka FC atasaidiana na Amri Said ndani ya klabu hiyo yenye maskani yake anatua Babati.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad