.
"Yanga inawachezaji wazuri sana ambao wanaweza kucheza timu yoyote hapa Africa, unapoenda kukutana na timu kama hiyo lazima ujipange kukukabiliana naamini Yanga Wataenda Robo Fainali,"
.
"Nawajua Yanga wanacheza Kwa Malengo Makubwa Ndoto Yao Ni Kubeba Ubingwa Wa Afrika Naamini Wataenda Robo Fainali Wanakocha Mzuri Na Kikosi Kizuri
FRORIENT IBENGE,Kocha Mkuu wa Klabu ya Al Hilal.