Naitwa Matayo, nilihamishwa kikazi kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam, ilibidi nitangulie Dar kwa ajili ya kuweka mazingira vizuri ili mpenzi wangu atakapokuja akute kila kitu kipo sawa, kwa maana alikuwa na mimba changa.
Baada ya miezi mitatu kila kitu kilikuwa poa, hivyo nilituma nauli ili na yeye aje Dar, nilishangaa kumuona akiwa sawa kabisa, yaani hakuonyesha kabisa dalili za kuwa ni mjamzito.
Kusema kweli nilishangaa, inakuaje mimba ya miezi mitatu inakuwa hivi?, nilijiuliza bila kupata majibu. Baada ya wiki moja kupita nililazimisha tukapime.
Huwezi amini, majibu yalikuja akiwa na mimba ya wiki mbili. Sikuamini, sikuelewa nini kilichotokea. Kila nikimuuliza Dokta alikuwa ananihakikishia mpenzi wangu ana mimba ya wiki mbili.
Kichwa kiliuma, sikupata usingizi ule usiku. Swali langu lilikuwa moja tu kwake, Imekuaje mpenzi wangu? mbona mahesabu yanagoma?. Hakuna alichojibu cha maana usiku ule, ssubuhi alibeba vitu vyake na kuhamia kwa rafiki yetu ambaye alikuwa yupo Dar.
Ilibidi nimpigie na nimueleze Mama yake nini kimetokea, niliambulia matusi mazito kutoka kwa yule mpenzi wangu, hakupendezwa na kitendo kile cha kumwambia Mama yake.
Niliumia sana kila nikikumbuka mazingira ambayo nilimtoa. Nilimsaidia sana yeye pamoja na mtoto wake ambaye nilimkuta nae. Niliumwa kwa mawazo, mpaka nikapata vidonda vya tumbo.
Kusema kweli nawashukuru marafiki zangu ambao walikuwa pamoja nami kwa wakati wote kwa kunitia moyo katika hali ambayo nilikuwa napitia kwa wakati ule ambao kamwe siwezi kuja kuusahau.
Kubwa zaidi walinipatia namba za Dr Bokko ambazo ni +255618536050 na kusema niwasiliane naye maana ana majibu ya changamoto yangu.
Nilifanya hivyo, na yeye Dr Bokko aliachia ushawi wake ambao uliponya maumivu yangu na mwisho wa siku nikapata mpenzi mwingine mwaminifu ambaye naishi naye kwa sasa na tayari tuna mtoto.
Na baada ya miezi kadhaa kupita nilisikia tu yule mpenzi wangu wa zamani amekuwa muhuni sana. Kuna siku alikuja kwangu akiwa amelewa hajitambui, nilimsaidia. Niliumia sana kumuona kwenye hali ile ndio hivyo sikuwa na la kufanya kabisa.