Israel Mwenda Ajipakulia Minyama "Ninaweza Kucheza Nafasi 4 Uwanjani"

 

Israel Mwenda Ajipakulia Minyama "Ninawecheza Kucheza Nafasi 4 Uwanjani"

MSIKIE ISRAEL MWENDA

“Nacheza kama beki wa kulia na kushoto, namba sita na winga ila aina ya winga ni sawa tu na beki ila utofauti ni kuzuia lakini ukicheza hiyo nyingine huzuii sana.”

“Najivunia sana kupata nafasi ya kucheza Simba na Yanga ndani ya muda mfupi, unajua ni wachezaji wachache wanaweza kuweka rekodi hiyo kwa umri wangu.

“Kuna mtu anatamani acheze Yanga, mwingine Simba, Lakini mimi nimepata nafasi ya kucheza zote mbili hilo tu ni jambo la kushukuru sana na ninajivunia kwa historia hiyo.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad