Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamika kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara baruti.
Watoto hao walitoroshwa na Dada wa kazi Baada ya kushirikiana na Mgangq wa kienyeji Mkazi wa Kimara
Tukio Hilo lilitokea Maeneo ya Temeke Ndandika