Zanzibar Heroes imeanza michuano ya Mapinduzi Cup kwa kishindo baada ya kuilaza Kilimanjaro Stars 1-0 katika mchezo wa ufunguzi uliopigwa katika dimba la Gombani.
Faisal Salum amekuwa mfungaji wa bao la kwanza la Mapinduzi Cup 2025 huku Kilimanjaro Stars ikiwa timu ya kwanza kupoteza mchezo kwenye michuano hiyo.
FT: Zanzibar Heroes 1-0 Kilimanjaro Stars
⚽ 52’ Feitoto